Swali: Je, inajuzu kwenda kuangalia mchezo wa mpira mahala sehemu ya kuchezea pamoja na kuhifadhi swalah kwa wakati wake?
Jibu: Unafaidika nini kwenda kuangalia mpira? Unafaidika nini kuangalia? Je, unafaidika dini au dunia? Ni upuuzi na kughafilika na kupoteza wakati. Usiende kuangalia.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/node/13668
- Imechapishwa: 18/09/2020
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket