Hukumu ya anayejivua katika utiifu wa mtawala

Swali: Ni ipi hukumu kwa mwenye kujivua katika utiifu wa mtawala wa waislamu?

Jibu: Hukumu yake ni kwamba ni muasi. Ni muasi na auawe. Auawe. Auawe na wala asiachwe akawaharibu waislamu kwa kusambaza fitina baina yao. Huyu ni mfisadi katika wanaoeneza ufisadi juu ya ardhi.

Check Also

Kukatazwa watawala kwa siri ni katika nchi zote

Swali: Fataawa za wanachuoni kwamba mtawala anatakiwa kukatazwa kwa siri ni khaswa katika nchi maalum …