Swali: Sauti si nzuri na tumechopata kuelewa kwenye swali ni al-Mawduudiy na vitabu vyake…
Jibu: Sijui kuwa Abul-´Alaa´ al-Mawduudiy (Rahimahu Allaah) ametilia uzito wowote katika kueneza ´Aqiydah. Alitilia umuhimu katika kueneza madhehebu ya al-Ikhwaan al-Muslimuun. Vitabu vyake vyote vinahusiana na hilo. Sijui kuwa ametilia uzito katika kueneza ´Aqiydah, kulingania katika Tawhiyd na kukemea shirki. Siyajui hayo.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/node/9355
- Imechapishwa: 03/05/2020
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket
Related
04. Anayofaa mwanamke kuonyesha mbele ya baba yake, kwa mtazamo wa al-Mawduudiy
Nilibainisha sehemu kidogo katika maelezo yangu kwa al-Mawduudiy aliyoyaweka mwishoni mwa kitabu chake ”al-Hijaab”. Humo nimetaja kuwa Hadiyth ya Qataadah kuna Swahabah anayekosekana katika cheni ya wapokezi na Hadiyth ya Jurayj kuna wapokezi wanaokosekana katika cheni ya wapokezi, kwa sababu kuna pengo kubwa baina yake yeye na ´Aaishah. al-Mawduudiy amelikubali…
In "1. Sharti ya kwanza ya Jilbaab"

al-Mawduudiy – mmoja katika maimamu wa Ahl-ul-Bid´ah
Swali: Je, Abul-A´laa al-Mawduudiy anahesabika kuwa ni katika maimamu wa Uislamu? Jibu: Kuna Tashayyu' ya wazi kwake. Anahesabika ni mmoja katika maimamu wa watu wa Bid´ah. Allaah Amjaze kheri ndugu mmoja kwa kuandika ”Zawaabi´ fiy Wajh-is-Sunnah” ambapo amefafanua ikiwa ni pamoja na hali ya Abul-A´laa al-Mawduudiy ambaye ni katika wale…
In "al-Waadi´iy kuhusu al-Mawduudiy"