al-Fawzaan kuhusu Ahbaash na ´Abdullaah al-Habashiy

Swali: Ni yapi maoni yako kuhusu kipote Habashiyyah ambao ni wafuasi wa ´Abdullaah al-Harariy al-Habashiy? Na yapi madhehebu yao?

Jibu: Madhehebu yao ni waabudu makaburi na kumshirikisha Allaah (´Azza wa Jall). Huyu ni mwabudu kaburi na Suufiy. al-Lajnah ad-Daaimah wameshatoa bayana kwa kupiga Radd hichi kipote potevu na kubainisha mfumo wao.

Kuna ujumbe kutoka chuo kikuu juzuu mbili kuhusu kipote cha Ahbaash na mfumo wao. Kadhalika kuna kitabu cha ndugu kutoka Syria ´Abdur-Rahmaan Dimashqiyyah kaandika kuhusu kipote cha Ahbaash. Kumeandikwa vitabu vikubwa na vidogo kuhusu wao.

Kwa mukhtasari ni kwamba ni kipote cha Shirki kinachoabudu makaburi cha ki-Suufiy.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://alfawzan.af.org.sa/ar/node/2078
  • Imechapishwa: 30/08/2020