Swali: Je, ni katika Sunnah au inajuzu kusoma al-Faatihah baada ya swalah ya faradhi sawa mtu kivyake au kwa pamoja?
Jibu: Kusoma al-Faatihah baada ya faradhi, sawa mtu kivyake au kwa pamoja, sio katika Sunnah.
- Muhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (02/384)
- Imechapishwa: 23/08/2020
Swali: Je, ni katika Sunnah au inajuzu kusoma al-Faatihah baada ya swalah ya faradhi sawa mtu kivyake au kwa pamoja?
Jibu: Kusoma al-Faatihah baada ya faradhi, sawa mtu kivyake au kwa pamoja, sio katika Sunnah.
Muhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (02/384)
Imechapishwa: 23/08/2020
https://firqatunnajia.com/al-faatihah-baada-ya-swalah-za-faradhi/