Ama Swaalih al-Munajjid yuko pamoja na Qutbiyyuun. Kanda zake ni ya kielimu, lakini [sauti haisikiki]. Yuko pamoja na Qutbiyyuun. Muhammad [al-Mukhtaar] ash-Shanqiytwiy ni Suufiy. Na yuko na ibara katika ibara za Suufiyyah. Anasema Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) anapoteremshiwa Wahyi anatoka katika umbile la kibinaadamu. Suufiyyah kule wanampenda sana.
- Muhusika: Shaykh ´Abdul-´Aziyz bin Yahyaa al-Buraa´iy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: http://www.sahab.net/forums/index.php?showtopic=133766
- Imechapishwa: 28/07/2020
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)