al-Buraa´iy kuhusu maneno ya Shaykh Rabiy´ al-Madkhaliy juu ya Yahyaa al-Hajuuriy

Anachoniuliza ni kama Shaykh Rabiy´ amesema kuwa Yahyaa al-Hajuuriy ni al-Haddaadiy? Nikasema:

“Ndio. Shaykh Rabiy´ amesema hivo.”

Akaniuliza kama amesema kuwa ni mpumbavu au mfano wa hayo. Nikawa nimesema kuwa ni Muhammad bin Haadiy ndio amesema hivo na yameenezwa kwenye intaneti. Ama kusema kuwa mimi ndio nimesema hivo, sio kweli. Haya ni maneno ya wanachuoni na sio mimi.

  • Mhusika: Shaykh ´Abdul-´Aziyz bin Yahyaa al-Bura´iy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://wahyain.com/forums/showthread.php?t=2306
  • Imechapishwa: 18/01/2017