Swali: Vitabu vya al-Albaaniy na usahihishaji wake wa Hadiyth?
Jibu: Vitabu vya al-Albaaniy ni vizuri. Lakini ana kuchukulia wepesi katika baadhi ya mambo na ana baadhi ya makosa katika baadhi yake. Baadhi yavyo ni vizuri. Amebobea katika fani hii na ni bingwa Allaah Amjaze kheri. Lakini katika usahihishaji wake ana baadhi ya makosa. Allaah Amrahamu. Amuwafikishe. Ambariki.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: http://subulsalam.com/play.php?catsmktba=14489
- Imechapishwa: 05/05/2015
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket