Swali: Kuhusiana na wanachuoni Muhammad Fu´aad ´Abdul-Baaqiy na Ahmad Shaakir – ´Aqiydah zao ilikuwa ni Salafiyyah?

Jibu: Ahmad Shaakir alikuwa ni Salafiy.

Muhammad Fu´aad ´Abdul-Baaqiy, nijuavyo tu ni kwamba alikuwa ni mwandishi. Elimu ya Hadiyth haikuwa kazi yake. Kuhusiana na ´Aqiydah yake, Allaah ndiye Anaijua zaidi. Kuhusiana na Ahmad Shaakir, alikuwa ni mwanachuoni, muheshimiwa na ´Aqiydah ya ki-Salafiy.

  • Mhusika: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa Juddah (24)
  • Imechapishwa: 22/04/2015