Swali: Baadhi ya vijana wanasema kuwa Ashaa´irah na Ahl-ul-Bid´ah wengine wanaweza kuwa wamepatia. Ni ipi hukumu ya kusema hivo?

Jibu: Wanaweza kuwa wamepatia ilihali ni Ahl-ul-Bid´ah? Maneno aina gani haya? Ahl-ul-Bid´ah si wenye kupatia.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (31)
  • Imechapishwa: 12/03/2022