Swali: Katika Aayah ya kufanya mzaha[1] kuna dalili ya kuwasusa Ahl-ul-Bid´ah na wafanya maasi ikiwa hawatubii?
Jibu: Ndio, halina shaka. Ikiwa Ahl-ul-Bid´ah na wafanya maasi hawakubali haki na hawatubii wanasuswa.
————
(1) 09:65
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/nawaqid-18-08-1435-01.mp3
- Imechapishwa: 11/04/2015
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket