Swali: Kuna mtu anasoma Adhkaar za jioni baada ya ´Aswr. Je, kitendo chake ni sahihi?
Jibu: Ndio; baada ya Dhuhr, baada ya ´Aswr, baada ya Maghrib, baada ya ´Ishaa – zote hizi ni nyakati za jioni.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (41)
- Imechapishwa: 16/11/2023
Swali: Kuna mtu anasoma Adhkaar za jioni baada ya ´Aswr. Je, kitendo chake ni sahihi?
Jibu: Ndio; baada ya Dhuhr, baada ya ´Aswr, baada ya Maghrib, baada ya ´Ishaa – zote hizi ni nyakati za jioni.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (41)
Imechapishwa: 16/11/2023
https://firqatunnajia.com/adhkaar-za-jioni-baada-ya-aswr/