Swali: Kuna msikiti uko shambani nje kidogo ya mji. Watu wanasikia adhaana kutoka mjini. Je, watoe adhaana?

Jibu: Ikiwa msikiti uko na muadhini ambaye ameteuliwa na wizara, basi hapana vibaya wakaadhini ingawa wanasikia adhaana kutoka katika mji.

  • Muhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (12/162)
  • Imechapishwa: 26/04/2026