Swali: Adhaana ni lazima juu ya kikosi cha wasafiri au imependekeza kwao?
Jibu: Imekokotezwa juu yao. Bali udhahiri wa maandiko ni ulazima. Kila kikosi cha watu wanatakiwa kuadhini na kukimu.
- Muhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (22)
- Imechapishwa: 30/10/2021
Swali: Adhaana ni lazima juu ya kikosi cha wasafiri au imependekeza kwao?
Jibu: Imekokotezwa juu yao. Bali udhahiri wa maandiko ni ulazima. Kila kikosi cha watu wanatakiwa kuadhini na kukimu.
Muhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (22)
Imechapishwa: 30/10/2021
https://firqatunnajia.com/adhaana-kwa-wasafiri/