Swali: Ni sahihi na ni kulingania katika dini ya Allaah muislamu akaadhini kati ya washirikina ijapokuwa sio wakati wa swalah?
Jibu: Hapana. Sio kulingania katika dini ya Allaah. Adhaana ni kwa ajili ya swalah na sio kwa sababu ya Da´wah. Adhaana ni kwa ajili ya swalah, inatambulisha kuingia kwa wakati. Haikuwekwa katika dini sababu ya Da´wah
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Fath-il-Majiyd (31) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/fathyl%20majd%20-%2026%20-%2010%20-%201436.mp3
- Imechapishwa: 29/09/2020
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket