Swali: Dada huyu anasema amejiwa na wanamme mmoja anayenyoa ndevu, anayevaa Isbaal, msikilizaji muziki na anayetazama musalsal kwa mwanamke ambaye amehifadhi Kitabu cha Allaah na ni mwanafunzi. Je, aolewe nao au atafute wengine kwa kuwa anasema kuwa pengine baadaye wakaongoka?
Jibu: Hapana. Akitubu na kurejea kwa Allaah tawbah sahihi [olewa naye]. Ama kuolewa naye ilihali bado yuko katika hali hii kwa kutarajia pengine akaongoka katika siku za mbele, hapana:
“Atapokujieni yule ambaye mmemridhia dini na amaana yake, basi muozesheni.”
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/node/13888
- Imechapishwa: 19/09/2020
Swali: Dada huyu anasema amejiwa na wanamme mmoja anayenyoa ndevu, anayevaa Isbaal, msikilizaji muziki na anayetazama musalsal kwa mwanamke ambaye amehifadhi Kitabu cha Allaah na ni mwanafunzi. Je, aolewe nao au atafute wengine kwa kuwa anasema kuwa pengine baadaye wakaongoka?
Jibu: Hapana. Akitubu na kurejea kwa Allaah tawbah sahihi [olewa naye]. Ama kuolewa naye ilihali bado yuko katika hali hii kwa kutarajia pengine akaongoka katika siku za mbele, hapana:
“Atapokujieni yule ambaye mmemridhia dini na amaana yake, basi muozesheni.”
Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/node/13888
Imechapishwa: 19/09/2020
https://firqatunnajia.com/achague-yupi-katika-wachumba-hawa/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)