´Abdul-´Aziyz Aalish-Shaykh Kuhusu Jamaa´at-ut-Tabliygh III

Jamaa´at-ut-Tabliygh wana baadhi ya makosa katika masuala ya imani na mfumo. Haijuzu kutoka nao na kujiunga nao ikiwa mtu hana elimu na ujuzi katika dini na akanuia kuwashauri na kuwaelekeza.

Ama kuhusu wajinga na watu wenye elimu ndogo, anaingia katika khatari kubwa. Huyu asitoke nao wala kujiunga nao.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah Aal ash-Shaykh
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: al-Buhuuth al-Islaamiyyah (84/70)
  • Imechapishwa: 02/09/2020