Kulipa swalah wakati wa kutwahirika

Swali: Ukiingia wakati wa Dhuhr kisha mwanamke akapata hedhi kabla ya kuswali. Je, atapotwahirika aswali swalah hii ambayo uliingia wakati wake kabla ya kuswali?

Jibu: Ndio. Aiswali katika hali ya kuilipa pindi atapotwahirika.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (107) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/ighatoulahfan-22-06-1441.mp3
  • Imechapishwa: 02/09/2020