Swali: Ni ipi hukumu kwa mwenye kuhukumu kinyume na Shari´ah katika mambo yote isipokuwa mambo ya ndoa, talaka na mirathi?
Jibu: Tumetangulia kusema kuhusu hili. Tumesema kuwa akihukumu kinyume na Shari´ah katika mambo yote, huyu amebadili dini. Mwenye kubadili dini amekufuru. Wanachuoni wengine wakasema ni lazima kwanza kumsimamishia hoja kwa kuwa anaweza kuwa na shubuha na anaweza kuwa ni mjinga.
- Muhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajhiy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: http://subulsalam.com/play.php?catsmktba=4745
- Imechapishwa: 01/05/2015
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket