99 – ´Aliy ametuhadithia: Sufyaan ametuhadithia: ´Abdullaah bin Diynaar amenihadithia:
”Nilimuona wakati Ibn ´Umar alipofika kutoka safarini, basi huingia msikitini akasema:
السلام عليك يا رسول الله، السلام على أبي بكر، السلام على أبي
”Amani iwe juu yako, ee Mtume wa Allaah! Amani iwe juu yako, ee Abu Bakr! Amani iwe juu yako, ee baba yangu!”
Halafu akaswali Rak´ah mbili.”[1]
[1] Cheni ya wapokezi ni Swahiyh. Sufyaan ni Ibn ´Uyaynah na ´Aliy ni Ibn ´Abdillaah al-Madiyniy.
- Mhusika: Imaam Ismaa´iyl bin Ishaaq al-Maalikiy
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fadhwl-us-Swalaah ´alaan-Nabiy, uk. 83-84
- Imechapishwa: 18/02/2024
- taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
99 – ´Aliy ametuhadithia: Sufyaan ametuhadithia: ´Abdullaah bin Diynaar amenihadithia:
”Nilimuona wakati Ibn ´Umar alipofika kutoka safarini, basi huingia msikitini akasema:
السلام عليك يا رسول الله، السلام على أبي بكر، السلام على أبي
”Amani iwe juu yako, ee Mtume wa Allaah! Amani iwe juu yako, ee Abu Bakr! Amani iwe juu yako, ee baba yangu!”
Halafu akaswali Rak´ah mbili.”[1]
[1] Cheni ya wapokezi ni Swahiyh. Sufyaan ni Ibn ´Uyaynah na ´Aliy ni Ibn ´Abdillaah al-Madiyniy.
Mhusika: Imaam Ismaa´iyl bin Ishaaq al-Maalikiy
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: Fadhwl-us-Swalaah ´alaan-Nabiy, uk. 83-84
Imechapishwa: 18/02/2024
taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
https://firqatunnajia.com/98-athar-nilimuona-wakati-ibn-umar-alipofika-kutoka-safarini-2/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)