Kuhusu kiwango chake ni pishi ya Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) ambayo kwa kipimo ni sawa na mithqaal 480 ya ngano nzuri na gramu ni 2,15 ya ngano nzuri. Hii ni kwa sababu uzito wa mithqal ni gramu nne na robo, hivyo kiasi cha mithqal 480 ni gramu 2040. Ikiwa anataka kujua pishi ya Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam), basi apime kilo mbili na gramu arobaini za ngano nzuri na kuiweka ndani ya chombo kwa kiasi chake kwa namna ya kwamba ajaze vizuri kisha apime.
- Muhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Majaalis Shahr Ramadhwaan, uk. 210-211
- Imechapishwa: 22/03/2024
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)