88 – Abu Hurayrah ameeleza kuwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:

”Yule mwenye kumpa muhula mdaiwa, aliye katika hali ngumu, akamwondoshea au kumsamehe, basi Allaah atampa kivuli ya ´Arshi Yake Siku ambayo hakuna kivuli kingine isipokuwa kivuli Chake.”

Cheni ya wapokezi wake ni njema[1].

[1] Ahmad (8711) na at-Tirmidhiy (1306). Cheni ya wapokezi ni Swahiyh, kama ilivyo katika “Swahiyh-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb” (2/37).

  • Mhusika: Imaam Shams-ud-Diyn Muhammad bin Ahmad adh-Dhahabiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: al-´Uluww lil-´Aliy al-Ghaffaar, uk. 108-109
  • Imechapishwa: 05/07/2024
  • taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy