Shaykh-ul-Islaam Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab (Rahimahu Allaah) amesema:

Ikiwa Allaah kaweka wazi katika Kitabu Chake ya kwamba mwenye kuamini baadhi na akakufuru baadhi, basi ni kafiri wa kweli na kwamba anastahiki kile alichokitaja, hoja tata hii itakuwa imesambaratika. Na hiki ni kitu walichosema watu kutoka al-Ahsaaa´ katika barua yao waliotutumia.

MAELEZO

Sijui chochote kuhusiana na barua hii. Ni jambo ambalo mtu anatakiwa kulifanyia utafiti.

  • Mhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Kashf-ish-Shubuhaat, uk. 83
  • Imechapishwa: 25/11/2023