Shaykh-ul-Islaam Ibn Taymiyyah amesema:

Mfano wa maneno Yake:

إِلَيْهِ يَصْعَدُ الْكَلِمُ الطَّيِّبُ وَالْعَمَلُ الصَّالِحُ يَرْفَعُهُ

“Kwake pekee linapanda neno zuri na kitendo chema anakinyanyua.”[1]

MAELEZO

Hii ni miongoni mwa dalili kuhusu ujuu wa Allaah (Subhaanahu wa Ta´ala). Kitu kupanda Kwake maana yake ni kuwa kinanyanyuliwa Kwake, jambo ambalo linafahamisha kuwepo Kwake juu ya viumbe Wake.

[1] 35:10

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: at-Ta´liyqaat at-Tawdhwiyhiyyah ´alaa Muqaddimat-il-Fatwaaa al-Hamawiyyah, uk. 109
  • Imechapishwa: 19/08/2024