6 – Mullaa ´Aliy al-Qaariy amesema:
“Uzuri wa aliyosema Imaam Maalik (Rahimahu Allaah) pale alipoulizwa kuhusu Kulingana na akasema:
“Kulingana juu kunatambulika. Namna haijulikani. Kuuliza juu yake ni Bid´ah. Ni wajibu kuamini jambo hilo.”
Huu ndio mfumo wa Salaf na ndio umesalimika zaidi. Na Allaah ndiye mjuzi zaidi.”[1]
Pamoja na hayo, mmoja wa wajinga wa siku hizi alijaribu kuidhoofisha msemo huo bila mafanikio akasema:
Hata hivyo wako baadhi ya wajinga leo hii baada ya majaribio yaliyofeli ya kuyadhoofisha masimulizi haya na wakasema:
”Vyovyote iwavyo masimulizi hayo ni maoni ya mwanachuoni tu. Si yenye kuwalazimu watu, hayamalizi mjadala wala ufahamu mwingine. Hayafupilizi ufahamu mmoja. Bali kuna wasaa kwa kila mmoja kuamini vile anavyotaka.”
Kwa maneno mengine ni kwamba Jahmiyyah, Mu´tazilah, Ashaa’irah na wengineo wana nafasi ya kuamini vile wanavyotaka. Allaah pekee ndiye anayetakwa msaada!”[2]
[1] Sharh al-Fiqh al-Akbar, uk. 38. Ingawa ameonelea kuegemeza maana (التفويض) kwa mujibu wa njia ya wapindishi maana.
[2] Tazama maelezo ya chini ya “Rasaa-il Muhammad Naswiyb ar-Rifaa´iy” (1414) ya Hassaan ´Abdul-Mannaan.
- Muhusika: Shaykh ´Abdur-Razzaaq bin ´Allaamah ´Abdil-Muhsin al-´Abbaad al-Badr
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: al-Athar al-Mash-huur ´an-il-Imaam Maalik fiy Swifat-il-Istiwaa’, uk. 82
- Imechapishwa: 17/12/2025
6 – Mullaa ´Aliy al-Qaariy amesema:
“Uzuri wa aliyosema Imaam Maalik (Rahimahu Allaah) pale alipoulizwa kuhusu Kulingana na akasema:
“Kulingana juu kunatambulika. Namna haijulikani. Kuuliza juu yake ni Bid´ah. Ni wajibu kuamini jambo hilo.”
Huu ndio mfumo wa Salaf na ndio umesalimika zaidi. Na Allaah ndiye mjuzi zaidi.”[1]
Pamoja na hayo, mmoja wa wajinga wa siku hizi alijaribu kuidhoofisha msemo huo bila mafanikio akasema:
Hata hivyo wako baadhi ya wajinga leo hii baada ya majaribio yaliyofeli ya kuyadhoofisha masimulizi haya na wakasema:
”Vyovyote iwavyo masimulizi hayo ni maoni ya mwanachuoni tu. Si yenye kuwalazimu watu, hayamalizi mjadala wala ufahamu mwingine. Hayafupilizi ufahamu mmoja. Bali kuna wasaa kwa kila mmoja kuamini vile anavyotaka.”
Kwa maneno mengine ni kwamba Jahmiyyah, Mu´tazilah, Ashaa’irah na wengineo wana nafasi ya kuamini vile wanavyotaka. Allaah pekee ndiye anayetakwa msaada!”[2]
[1] Sharh al-Fiqh al-Akbar, uk. 38. Ingawa ameonelea kuegemeza maana (التفويض) kwa mujibu wa njia ya wapindishi maana.
[2] Tazama maelezo ya chini ya “Rasaa-il Muhammad Naswiyb ar-Rifaa´iy” (1414) ya Hassaan ´Abdul-Mannaan.
Muhusika: Shaykh ´Abdur-Razzaaq bin ´Allaamah ´Abdil-Muhsin al-´Abbaad al-Badr
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: al-Athar al-Mash-huur ´an-il-Imaam Maalik fiy Swifat-il-Istiwaa’, uk. 82
Imechapishwa: 17/12/2025
https://firqatunnajia.com/60-aliy-al-qaariy-kuhusu-masimulizi-ya-maalik/