Swali: Ni kiasi gani kinatolewa katika Zakaat-ul-Fitwr na inatolewa kupewa nani?

Jibu: Kiasi cha Zakaat-ul-Fitwr ni 3 kg. Mwanamme nyumbani anatakiwa kujitolea mwenyewe na watu wa nyumbani kwake, na aigawanye kwa wale mafukara wa kiislamu wanaoishi katika mji huo.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah Aalush-Shaykh
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Min Fataawaas-Swiyaam, uk. 45
  • Imechapishwa: 02/04/2022