3 – adh-Dhahabiy amesema:
”Haya yamethibiti kutoka kwa Maalik. Mfano wa hayo yamepokelewa kutoka kwa Rabiy´ah, mwalimu wa Maalik. Ahl-us-Sunnah wote wanasema hivo. Hatuelewi namna ya Kulingana, bali ni jambo tusilolijua. Hata hivyo kulingana kunatambulika na ni kama ambavyo kunalingana Naye, kama alivyoyaeleza hayo katika Kitabu Chake. Hatuingii kwa ndani, wala hatufukui. Wala hatupekui yale yanayopelekea hayo kwa njia ya kukanusha wala kuthibitisha. Bali tunanyamaza na tunasimama kama walivyosimama Salaf. Tunajua kuwa kama yangelifasiriwa basi Maswahabah na wanafunzi wao wangekimbilia kufanya hivo badala tu ya kuthibitisha, kuyapitisha na kuyanyamazia. Tunajua kwa yakini kabisa ya kwamba hakuna mfano wa Allaah inapokuja katika sifa Zake, kulingana Kwake wala kushuka Kwake. Allaah ametakasika kutokana na yale wanayoyasema madhalimu!”[1]
[1] al-´Uluww lil-´Aliy al-Ghaffaar, uk. 139.
- Muhusika: Shaykh ´Abdur-Razzaaq bin ´Allaamah ´Abdil-Muhsin al-´Abbaad al-Badr
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: al-Athar al-Mash-huur ´an-il-Imaam Maalik fiy Swifat-il-Istiwaa’, uk. 80-81
- Imechapishwa: 16/12/2025
3 – adh-Dhahabiy amesema:
”Haya yamethibiti kutoka kwa Maalik. Mfano wa hayo yamepokelewa kutoka kwa Rabiy´ah, mwalimu wa Maalik. Ahl-us-Sunnah wote wanasema hivo. Hatuelewi namna ya Kulingana, bali ni jambo tusilolijua. Hata hivyo kulingana kunatambulika na ni kama ambavyo kunalingana Naye, kama alivyoyaeleza hayo katika Kitabu Chake. Hatuingii kwa ndani, wala hatufukui. Wala hatupekui yale yanayopelekea hayo kwa njia ya kukanusha wala kuthibitisha. Bali tunanyamaza na tunasimama kama walivyosimama Salaf. Tunajua kuwa kama yangelifasiriwa basi Maswahabah na wanafunzi wao wangekimbilia kufanya hivo badala tu ya kuthibitisha, kuyapitisha na kuyanyamazia. Tunajua kwa yakini kabisa ya kwamba hakuna mfano wa Allaah inapokuja katika sifa Zake, kulingana Kwake wala kushuka Kwake. Allaah ametakasika kutokana na yale wanayoyasema madhalimu!”[1]
[1] al-´Uluww lil-´Aliy al-Ghaffaar, uk. 139.
Muhusika: Shaykh ´Abdur-Razzaaq bin ´Allaamah ´Abdil-Muhsin al-´Abbaad al-Badr
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: al-Athar al-Mash-huur ´an-il-Imaam Maalik fiy Swifat-il-Istiwaa’, uk. 80-81
Imechapishwa: 16/12/2025
https://firqatunnajia.com/57-adh-dhahabiy-kuhusu-masimulizi-ya-maalik/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket