Shaykh-ul-Islaam Ibn Taymiyyah amesema:
Kuna mwingine miongoni mwao amesema:
“Nilisoma sana. Nikawaacha waislamu na Uislamu na elimu yao, nikaingia ndani ya bahari pana na nikaanza kuingilia yale mambo ambayo nimekatazwa. Yote hayo kwa ajili ya kujitahidi kuitafuta haki. Hivi sasa ole wangu iwapo Mola wangu asiponidiriki kwa rehema Zake. Hapa mimi nakufa juu ya ´Aqiydah ya mama yangu.”
MAELEZO
Haya ni maneno ya Abul-Ma´aaliy al-Juwayniy, ambaye ni mmoja katika maimamu na vigogo vyao. Anasema namna ambayo alienda pamoja na wanafalsafa, akawaacha waislamu na Uislamu wao. Kwa sababu alienda pamoja na wasomi wa mantiki na wanafalsafa. Akapoteza umri wake wote katika mijadala badala ya kujifunza Qur-aan na Sunnah, pamoja na kwamba Salaf wamekemea falsafa na mijadala na akathibitisha kuwa haipelekei katika natija yoyote isipokuwa tu kudangana na vurugu. Hivo ndivo alivosema al-Juwayniy wakati wa kutaka kwake kufa. Hapa anajirejea na kukubali kwake kosa la mirengo hii.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: at-Ta´liyqaat at-Tawdhwiyhiyyah ´alaa Muqaddimat-il-Fatwaaa al-Hamawiyyah, uk. 92-93
- Imechapishwa: 12/08/2024
Shaykh-ul-Islaam Ibn Taymiyyah amesema:
Kuna mwingine miongoni mwao amesema:
“Nilisoma sana. Nikawaacha waislamu na Uislamu na elimu yao, nikaingia ndani ya bahari pana na nikaanza kuingilia yale mambo ambayo nimekatazwa. Yote hayo kwa ajili ya kujitahidi kuitafuta haki. Hivi sasa ole wangu iwapo Mola wangu asiponidiriki kwa rehema Zake. Hapa mimi nakufa juu ya ´Aqiydah ya mama yangu.”
MAELEZO
Haya ni maneno ya Abul-Ma´aaliy al-Juwayniy, ambaye ni mmoja katika maimamu na vigogo vyao. Anasema namna ambayo alienda pamoja na wanafalsafa, akawaacha waislamu na Uislamu wao. Kwa sababu alienda pamoja na wasomi wa mantiki na wanafalsafa. Akapoteza umri wake wote katika mijadala badala ya kujifunza Qur-aan na Sunnah, pamoja na kwamba Salaf wamekemea falsafa na mijadala na akathibitisha kuwa haipelekei katika natija yoyote isipokuwa tu kudangana na vurugu. Hivo ndivo alivosema al-Juwayniy wakati wa kutaka kwake kufa. Hapa anajirejea na kukubali kwake kosa la mirengo hii.
Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: at-Ta´liyqaat at-Tawdhwiyhiyyah ´alaa Muqaddimat-il-Fatwaaa al-Hamawiyyah, uk. 92-93
Imechapishwa: 12/08/2024
https://firqatunnajia.com/55-tawbah-ya-al-juwayniy-wakati-wa-kutaka-kukata-roho/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)