12 – ´Iysaa bin ´Uthmaan amesema:

”Nilikuwa kwa Faatwimah bint ´Aliy wakati ambapo alikuja bwana mmoja akimsifu baba yake mbele yake. Hivyo akachukua majivu na kumrushia usoni mwake.”[1]

[1] Ibn Sa´d na kupitia kwake Ibn ´Asaakir. Cheni yake ya wapokezi ni nzuri. ´Iysaa bin ´Uthmaan ametajwa katika ”ath-Thiqaat” ya Ibn Hibbaan.

  • Mhusika: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Jilbaab-ul-Mar-ah al-Muslimah, uk. 102
  • Imechapishwa: 01/10/2023