11 – ´Urwah bin ´Abdillaah bin Qushayr amesimulia:

”Niliingia kwa Faatwimah bint ´Aliy bin Abiy Twaalib na nikamuona yuko na bangili mbili kubwa katika kila mkono wake na pete kwenye kidole chake.”[1]

[1] Ibn Sa´d na kupitia kwake Ibn ´Asaakir. Cheni yake ya wapokezi ni Swahiyh.

  • Mhusika: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Jilbaab-ul-Mar-ah al-Muslimah, uk. 102
  • Imechapishwa: 01/10/2023