54. Hukumu ya kuacha kumswalia aliye na deni imefutwa

Swali 54: Ni kwa nini Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) ameacha kumswalia ambaye yuko na deni[1]?

Jibu: Hili limefutwa. Hapa ilikuwa mwanzoni kwa ajili ya kuwahimiza kukopa kuchache na kuharakisha kulipa. Baadaye jambo hilo likafutwa. Mwishoni (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) aliwaswalia wote wenye madeni na ambao hawana madeni.

[1] Majmuu´-ul-Fataawaa (13/163-164).

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Ahkaam-ul-Janaa-iz, uk. 40
  • Imechapishwa: 25/12/2021