54. Du´aa wakati wa kumfunga macho maiti

  Download

155-

اللهُـمِّ اغْفِـرْ لِفُلاَنٍ (باسـمه) وَارْفَعْ دَرَجَتَـهُ فِي المَهْـدِيّيـنَ، وَاخْـلُفْـهُ في عَقِـبِهِ في الغَابِـرِينَ، وَاغْفِـرْ لَنَا وَلَـهُ يا رَبَّ العـالَمـين، وَافْسَـحْ لَهُ في قَبْـرِهِ وَنَـوِّرْ لَهُ  فِيهِ

”Ee Allaah! Msamehe fulani (kwa jina la maiti) na mnyanyue daraja yake katika walioongoka, weka badili yake kwa aliyowacha nyuma, na utusamehe sisi na Yeye, ee Mola wa walimwengu na umkunjulie ndani ya kaburi lake na umtilie nuru ndani yake.”[1]

[1] Muslim (02/634).

  • Mhusika: Shaykh Sa´iyd bin ´Aliy bin Wahf al-Qahtwaaniy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Huswn-ul-Muslim
  • Imechapishwa: 01/05/2020