9 – ´Atwaa´ bin Abiy Rabaah amesema:
”Nilimuona ´Aaishah (Radhiya Allaahu ´anhaa) akiwavisha kondoo mikufu ambao watasafirishwa naye ili kuchinjwa.”
- Muhusika: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Jilbaab-ul-Mar-ah al-Muslimah, uk. 101
- Imechapishwa: 27/09/2023