Swali 47: Baadhi ya maimamu wanamsubiri anayeingia ili awahi Rak´ah na baadhi ya wengine wanasema kuwa haikusuniwa kusubiri. Ni yepi ya sawa?
Jibu: Usawa ni kumsubiri kidogo anayeingia ili awahi Rak´ah kwa ajili ya kumwigiliza Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam).
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fataawaa Muhimmah, uk. 54
- Imechapishwa: 01/09/2022
Swali 47: Baadhi ya maimamu wanamsubiri anayeingia ili awahi Rak´ah na baadhi ya wengine wanasema kuwa haikusuniwa kusubiri. Ni yepi ya sawa?
Jibu: Usawa ni kumsubiri kidogo anayeingia ili awahi Rak´ah kwa ajili ya kumwigiliza Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam).
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Fataawaa Muhimmah, uk. 54
Imechapishwa: 01/09/2022
https://firqatunnajia.com/47-kumsubiri-mwenye-kuingia-awahi-rukuu/
Mshirikishe mwenzako:
- Share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Print (Opens in new window) Print
- Email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Share on X (Opens in new window) X
- Share on Pocket (Opens in new window) Pocket