50. Fadhilah za kumtembelea mgonjwa

  Download

149-

Amesema (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam):

“Pindi mtu anapomtembelea ndugu yake muislamu basi hutembelea katika bustani ya Pepo mpaka atakapokaa chini, na anapokaa chini basi hufunikwa na rehma. Ikiwa ni asubuhi wanamuombea msamaha Malaika elfu sabini mpaka inapoingia jioni. Na ikiwa ni jioni wanamuombea msamaha Malaika elfu sabini mpaka inaingia asubuhi.”[1]

[1] at-Tirmidhiy, Ibn Maajah na Ahmad. Tazama “Swahiyh Ibn Maajah (01/244) na “Swahiyh-ut-Tirmidhiy (01/286). Pia Ahmad Shaakir ameisahihisha.

  • Mhusika: Shaykh Sa´iyd bin ´Aliy bin Wahf al-Qahtwaaniy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Huswn-ul-Muslim
  • Imechapishwa: 01/05/2020