Uombezi ni haki. Lakini hata hivyo haiombwi kutoka kwa watu. Isipokuwa inaombwa kutoka kwa Allaah pekee. Kwa mfano unaweza kusema: “Ee Allaah! Nakuomba unipe uombezi wa Mtume Wako”, “Ee Allaah! Nakuomba unipe uombezi wa waja Wako wema”. Usisimame mbele ya kaburi na kusema: “Ewe fulani… “, “Ewe Mtume wa Allaah… “ naomba uombezi. Kwa sababu maiti haombwi kitu. Bali uombezi unaombwa kutoka kwa Allaah pekee. Uombezi ni milki ya Allaah na sio milki ya mwingine yeyote.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Nawaaqidh-il-Islaam, uk. 70-71
- Imechapishwa: 02/09/2018
Uombezi ni haki. Lakini hata hivyo haiombwi kutoka kwa watu. Isipokuwa inaombwa kutoka kwa Allaah pekee. Kwa mfano unaweza kusema: “Ee Allaah! Nakuomba unipe uombezi wa Mtume Wako”, “Ee Allaah! Nakuomba unipe uombezi wa waja Wako wema”. Usisimame mbele ya kaburi na kusema: “Ewe fulani… “, “Ewe Mtume wa Allaah… “ naomba uombezi. Kwa sababu maiti haombwi kitu. Bali uombezi unaombwa kutoka kwa Allaah pekee. Uombezi ni milki ya Allaah na sio milki ya mwingine yeyote.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh Nawaaqidh-il-Islaam, uk. 70-71
Imechapishwa: 02/09/2018
https://firqatunnajia.com/46-uombezi-unaombwa-kutoka-kwa-allaah-pekee/