Pale ambapo mwenye janaba hakupata maji wala udongo, basi ataswali kwa heshima ya wakati vile hali ilivyo. Hata hivyo ni haramu kwake kusoma Qur-aan nje ya swalah. Aidha ni haramu kwake kusoma ndani ya swalah chhenye kuzidi juu ya al-Faatihah. Je, ni haramu kwake kusoma al-Faatihah? Kuna maoni mawili matika madhehebu.
1 – Maoni sahihi yaliyochaguliwa ni kwamba si haramu, bali ni lazima. Kwa sababu swalah haisihi isipokuwa kwayo. Kama ilivyojuzu swalah kwa dharurah katika hali ya janaba, ndivyo hivyo pia inavyojuzu kusoma al-Faatihah.
2 – Haijuzu. Bali atasoma Adhkaar zile ambazo husomwa na asiyeweza ambaye hahifadhi chochote katika Qur-aan. Kwa sababu huyu si muweza kwa mujibu wa Shari´ah, basi akawa kama asiyeweza kihisia. Hata hivyo maoni ya kwanza ndio ya sawa.
Mataga haya tuliyoyataja yanahitajika, kwa hiyo nimeyaashiria kwa maneno mafupi zaidi. Vinginevyo yana dalili na nyongeza nyingi zinazojulikana katika vitabu vya Fiqh – na Allaah ndiye Mjuzi zaidi.
- Muhusika: Imaam Yahyaa bin Sharaf an-Nawawiy (afk. 677)
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: at-Tibyaan fiy Aadaabi Hamalat-il-Qur-aan, uk. 51
- Imechapishwa: 30/08/2026
Pale ambapo mwenye janaba hakupata maji wala udongo, basi ataswali kwa heshima ya wakati vile hali ilivyo. Hata hivyo ni haramu kwake kusoma Qur-aan nje ya swalah. Aidha ni haramu kwake kusoma ndani ya swalah chhenye kuzidi juu ya al-Faatihah. Je, ni haramu kwake kusoma al-Faatihah? Kuna maoni mawili matika madhehebu.
1 – Maoni sahihi yaliyochaguliwa ni kwamba si haramu, bali ni lazima. Kwa sababu swalah haisihi isipokuwa kwayo. Kama ilivyojuzu swalah kwa dharurah katika hali ya janaba, ndivyo hivyo pia inavyojuzu kusoma al-Faatihah.
2 – Haijuzu. Bali atasoma Adhkaar zile ambazo husomwa na asiyeweza ambaye hahifadhi chochote katika Qur-aan. Kwa sababu huyu si muweza kwa mujibu wa Shari´ah, basi akawa kama asiyeweza kihisia. Hata hivyo maoni ya kwanza ndio ya sawa.
Mataga haya tuliyoyataja yanahitajika, kwa hiyo nimeyaashiria kwa maneno mafupi zaidi. Vinginevyo yana dalili na nyongeza nyingi zinazojulikana katika vitabu vya Fiqh – na Allaah ndiye Mjuzi zaidi.
Muhusika: Imaam Yahyaa bin Sharaf an-Nawawiy (afk. 677)
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: at-Tibyaan fiy Aadaabi Hamalat-il-Qur-aan, uk. 51
Imechapishwa: 30/08/2026
https://firqatunnajia.com/43-kisomo-cha-qur-aan-wakati-wa-kukosekana-maji-na-udongo/