43 – Sulaymaan bin Harb na ´Aarim ametuhadithia: Hammaad bin Zayd ametuhadithia, kutoka kwa ´Amr, kutoka kwa Muhammad bin ´Aliy, ambaye amesimulia kuwa Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
من نسي الصلاة عليَّ خطئ طريق الجنة
”Ambaye ataacha kuniswalia, basi atapotea njia ya Peponi.”[1]
[1] Cheni ya wapokezi wake ni Swahiyh, lakini kuna Swahabah anayekosekana. Tazama mlolongo wa wapokezi wa kabla yake.
- Muhusika: Imaam Ismaa´iyl bin Ishaaq al-Maalikiy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fadhwl-us-Swalaah ´alaan-Nabiy, uk. 47-48
- Imechapishwa: 17/01/2024
43 – Sulaymaan bin Harb na ´Aarim ametuhadithia: Hammaad bin Zayd ametuhadithia, kutoka kwa ´Amr, kutoka kwa Muhammad bin ´Aliy, ambaye amesimulia kuwa Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
من نسي الصلاة عليَّ خطئ طريق الجنة
”Ambaye ataacha kuniswalia, basi atapotea njia ya Peponi.”[1]
[1] Cheni ya wapokezi wake ni Swahiyh, lakini kuna Swahabah anayekosekana. Tazama mlolongo wa wapokezi wa kabla yake.
Muhusika: Imaam Ismaa´iyl bin Ishaaq al-Maalikiy
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Fadhwl-us-Swalaah ´alaan-Nabiy, uk. 47-48
Imechapishwa: 17/01/2024
https://firqatunnajia.com/43-hadiyth-ambaye-ataacha-kuniswalia/