42. Yalitokea matukio mengine yepi katika mwaka huohuo?

Swali 42: Yalitokea matukio mengine yepi katika mwaka huohuo?

Jibu: Kujengwa msikiti, kutengeneza udugu kati ya Wahajiri na Wanusuraji na Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) kuishi na ´Aaishah (Radhiya Allaahu ´anh) kindoa katika Shawwaal, miaka miwili baada ya kumuoa yeye na Sawdah Makkah. Mwaka huohuo Wahajiri wakapigwa na homa Madiynah ambapo Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) akaomba kuondoshwa janga hilo na ikahamia Juhfah.

  • Mhusika: ´Allaamah Haafidhw bin Ahmad al-Hakamiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Amaaliy fiys-Siyrah an-Nabawiyyah, uk. 107-108
  • Imechapishwa: 08/10/2023