Swali 41: Kunasomwa kitu baada ya Takbiyr ya nne[1]?
Jibu: Hakukuthibiti kitu katika hayo. Bali aseme “Allaahu Akbar” kisha anyamaze kidogo kisha atoe Tasliym baada ya Takbiyr ya nne.
[1] Majmuu´-ul-Fataawaa (13/147).
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Ahkaam-ul-Janaa-iz, uk. 33-34
- Imechapishwa: 20/12/2021
Swali 41: Kunasomwa kitu baada ya Takbiyr ya nne[1]?
Jibu: Hakukuthibiti kitu katika hayo. Bali aseme “Allaahu Akbar” kisha anyamaze kidogo kisha atoe Tasliym baada ya Takbiyr ya nne.
[1] Majmuu´-ul-Fataawaa (13/147).
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Ahkaam-ul-Janaa-iz, uk. 33-34
Imechapishwa: 20/12/2021
https://firqatunnajia.com/41-kunasomwa-kitu-baada-ya-takbiyr-ya-nne/