40. Maiti anaombewa du´aa vipi asipojulikana ni mume au mke?

Swali 40: Maamuma aombe du´aa vipi ikiwa hajui kama maiti ni mwanamme au mwanamke[1]?

Jibu: Kuna wasaa katika jambo hili. Akimombea kwa dhamira ya kiume na akamkusudia yule maiti ni sawa na akimwombea msamaha kwa dhamira ya kike ni sawa.

[1] Majmuu´-ul-Fataawaa (13/146).

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Ahkaam-ul-Janaa-iz, uk. 33
  • Imechapishwa: 20/12/2021