40. Du´aa ya aliyepatwa na shaka katika imani yake

  Download

133-

1- “Amwombe kinga kwa Allaah.”[1]

2- “Aondoshe kile anachokitilia shaka.”[2]

134-

Aseme:

آمَنْـتُ بِاللهِ وَرُسُـلِه

“Nimemwamini Allaah na Mtume Wake.”[3]

135-

Asome maneno Yake (Ta´ala):

هُوَ الْأَوَّلُ وَالْآخِرُ وَالظَّاهِرُ وَالْبَاطِنُ ۖ وَهُوَ بِكُلِّ شَيْءٍ عَلِيمٌ

“Yeye ndiye wa Mwanzo, hakuna kitu chochote kabla Yako. Wewe ndiye wa Mwisho, hakuna kitu chochote baada Yako. Wewe ndiye Uliye juu, hakuna kitu chochote juu Yako. Naye juu ya kila jambo ni muweza.”[4]

[1] al-Bukhaariy pamoja na al-Fath (06/336) na Muslim (01/120).

[2] al-Bukhaariy pamoja na al-Fath (06/336) na Muslim (01/120).

[3] Muslim (01/119-120).

[4] Suurah ”al-Hadiyd” Aayah 03. Abu Daawuud (04/329). Ni nzuri kwa mujibu wa al-Albaaniy katika ”Swahiyh Abiy Daawuud” (03/962).

  • Mhusika: Shaykh Sa´iyd bin ´Aliy bin Wahf al-Qahtwaaniy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Huswn-ul-Muslim
  • Imechapishwa: 29/04/2020