20 – Kuwaombea mabaya watoto:
Miongoni mwa makosa yanayoenda kinyume na Shari´ah ni kuwaombea mabaya watoto. Kwa kosa dogo tu utamuona mama anainua mikono na kutoa laana dhidi ya watoto wake. Waombee du´aa njema badala ya kuwaombea mabaya na jizoweze kufanya hivyo. Hili ni muhimu, kwani du´aa inaweza kukutana wakati wa kukubaliwa du´aa na baadaye ukajutia na majuto ni mjukuu. Amesema (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam):
“Msijiombee mabaya wala msiwaombee mabaya watoto wenu …”
Ameipokea Muslim.
- Muhusika: Dr. ´Abdul-´Aziyz bin Daawuud al-Faaiz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Tawjiyhaat wa Tanbiyhaat lil-Fataati al-Muslimah, uk. 32
- Imechapishwa: 19/03/2026
20 – Kuwaombea mabaya watoto:
Miongoni mwa makosa yanayoenda kinyume na Shari´ah ni kuwaombea mabaya watoto. Kwa kosa dogo tu utamuona mama anainua mikono na kutoa laana dhidi ya watoto wake. Waombee du´aa njema badala ya kuwaombea mabaya na jizoweze kufanya hivyo. Hili ni muhimu, kwani du´aa inaweza kukutana wakati wa kukubaliwa du´aa na baadaye ukajutia na majuto ni mjukuu. Amesema (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam):
“Msijiombee mabaya wala msiwaombee mabaya watoto wenu …”
Ameipokea Muslim.
Muhusika: Dr. ´Abdul-´Aziyz bin Daawuud al-Faaiz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Tawjiyhaat wa Tanbiyhaat lil-Fataati al-Muslimah, uk. 32
Imechapishwa: 19/03/2026
https://firqatunnajia.com/36-duaa-mbaya-kwa-watoto/