35. Zungumza haki, wafuate Salaf na waepuke Ahl-ul-Bid´ah

Allaah amrehemu mja anayezungumza haki, akafuata mapokezi, akashikamana barabara na Sunnah, akafuata uongofu wa wema, akajiepusha na Ahl-ul-Bid´ah na akaacha kukaa nao na kuwazungumzisha kwa ajili ya kutaraji malipo kutoka kwa Allaah, kujikurubisha Kwake na kuifanya dini Yake kuwa na nguvu. Tawfiyq yetu iko kwa Allaah.

  • Mhusika: Imaam Harb bin Ismaa´iyl al-Kirmaaniy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Kitaab-us-Sunnah, uk. 100
  • Imechapishwa: 09/06/2022