19 – Baadhi ya wanawake wanawaeleza baadhi ya wasichana wengine kwa waume zao
Miongoni mwa makosa yanayoenda kinyume na Shari´ah ni kwamba baadhi ya wanawake huwaelezea wasichana wengine kwa waume zao au ndugu zao wa kiume kwa maelezo ya kina, jambo ambalo halijuzu. Isipokuwa tu katika hali ya posa kwa anayetarajia kumposa msichana huyo. Amesema (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam):
“Mwanamke asimwelezee mwanamke mwenzake kwa mumewe kama kwamba anamwona.”
Ameipokea Bukhariy.
- Muhusika: Dr. ´Abdul-´Aziyz bin Daawuud al-Faaiz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Tawjiyhaat wa Tanbiyhaat lil-Fataati al-Muslimah, uk. 32
- Imechapishwa: 19/03/2026
19 – Baadhi ya wanawake wanawaeleza baadhi ya wasichana wengine kwa waume zao
Miongoni mwa makosa yanayoenda kinyume na Shari´ah ni kwamba baadhi ya wanawake huwaelezea wasichana wengine kwa waume zao au ndugu zao wa kiume kwa maelezo ya kina, jambo ambalo halijuzu. Isipokuwa tu katika hali ya posa kwa anayetarajia kumposa msichana huyo. Amesema (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam):
“Mwanamke asimwelezee mwanamke mwenzake kwa mumewe kama kwamba anamwona.”
Ameipokea Bukhariy.
Muhusika: Dr. ´Abdul-´Aziyz bin Daawuud al-Faaiz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Tawjiyhaat wa Tanbiyhaat lil-Fataati al-Muslimah, uk. 32
Imechapishwa: 19/03/2026
https://firqatunnajia.com/35-kuwaelezea-baadhi-ya-wasichana-kwa-waume/