Swali: Kuna mwanamme alikuwa amefunga Ramadhaan akambusu mke wake ambapo akatokwa na manii. Je, inatosha kwake kulipa siku hiyo au analazimika vilevile kutoa kafara?

Jibu: Inamtosha kwake kulipa siku hiyo peke yake.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah Aalush-Shaykh
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Min Fataawaas-Swiyaam, uk. 33
  • Imechapishwa: 24/03/2022