33. Maneno ya Ibn Abiy Mulaykah kuhusu mikono ya Allaah

34- Imethibiti kwamba Naafiy´ bin ´Umar al-Jamhiy amesema:

“Nilimuuliza Ibn Abiy Mulaykah kama Allaah ana mkono mmoja au mikono miwili? Akajibu: “Miwili.”[1]

Haya yamethibiti kutoka kwa Ibn Abiy Mulaykah ambaye ameyasikia kutoka kwa wale vigogo wa Taabi´uun.

[1] ar-Radd ´alaa Bishr al-Mariysiy, uk. 38

  • Mhusika: Imaam Shams-ud-Diyn Muhammad bin Ahmad adh-Dhahabiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Ithbaat-ul-Yad li-Laah Swifatan min Swifwaatih, uk. 28
  • Imechapishwa: 03/07/2019