Miongoni mwa adabu za swawm ni kufungua kwa tende tosa. Asipopata basi kwa tende za kawaida. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alikuwa akifungua kwa tende tosa kabla ya kuswali, asipopata basi kwa tende za kawaida na asipopata tende basi hunywa funda chache za maji[1].
Haitakikani kuzidisha sana aina za vyakula na vinywaji vinavyoandaliwa wakati wa kufungua, kwa sababu jambo hilo linakwenda kinyume na Sunnah na humshughulisha mtu na swalah ya mkusanyiko.
[1] Abu Daawuud (3256), at-Tirmidhiy (543), Ahmad (03/164), al-Haakim (01/432) ambaye amesema:
”Swahiyh juu ya masharti ya Muslim.”
adh-Dhahabiy ameinyamazia.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Ithaaf Ahl-il-Iymaan bi Duruus Shahri Ramadhwaan, uk. 33
- Imechapishwa: 28/02/2026
Miongoni mwa adabu za swawm ni kufungua kwa tende tosa. Asipopata basi kwa tende za kawaida. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alikuwa akifungua kwa tende tosa kabla ya kuswali, asipopata basi kwa tende za kawaida na asipopata tende basi hunywa funda chache za maji[1].
Haitakikani kuzidisha sana aina za vyakula na vinywaji vinavyoandaliwa wakati wa kufungua, kwa sababu jambo hilo linakwenda kinyume na Sunnah na humshughulisha mtu na swalah ya mkusanyiko.
[1] Abu Daawuud (3256), at-Tirmidhiy (543), Ahmad (03/164), al-Haakim (01/432) ambaye amesema:
”Swahiyh juu ya masharti ya Muslim.”
adh-Dhahabiy ameinyamazia.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Ithaaf Ahl-il-Iymaan bi Duruus Shahri Ramadhwaan, uk. 33
Imechapishwa: 28/02/2026
https://firqatunnajia.com/33-kufungua-kwa-tende/