36. Du´aa ya kukutana na adui na mtawala

  Download

126-

اللّهُـمَّ إِنا نَجْـعَلُكَ في نُحـورِهِـم، وَنَعـوذُ بِكَ مِنْ شُرورِهـمْ

”Ee Allaah! Hakika sisi tunakufanya Wewe uwe katika vifua  vyao na tunajilinda Kwako kutokamana na shari zao.”[1]

127-

اللّهُـمَّ أَنْتَ عَضُـدي، وَأَنْتَ نَصـيري، بِكَ أَجـولُ وَبِكَ أَصـولُ وَبِك أُقـاتِل

“Ee Allaah! Hakika Wewe ndiye msaidizi wangu, Nawe ndiye mnusura wangu; Kwako ninazunguka, Kwako ninavamia na Kwako ninapigana.”[2]

128-

حَسْبُـنا اللهُ وَنِعْـمَ الوَكـيل

”Allaah anatutosheleza Naye ni mbora wa kutegemewa.”[3]

[1] Abu Daawuud (02/89). Ni Swahiyh kwa mujibu wa al-Haakim na adh-Dhahabiy akaafikiana naye (02/142).

[2] Abu Daawuud (03/42) na at-Tirmidhiy (05/572). Tazama “Swahiyh-ut-Tirmidhiy” (03/183).

[3] al-Bukhaariy (05/172).

  • Mhusika: Shaykh Sa´iyd bin ´Aliy bin Wahf al-Qahtwaaniy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Huswn-ul-Muslim
  • Imechapishwa: 29/04/2020