Analazimika kula yule mwenye kuhitajia kufanya hivo kwa ajili ya kumwokoa ambaye ametumbukia katika maangamivu kama mfano wa mwenye kuzama na wengineo.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: al-Mulakhasw al-Fiqh (01/392)
  • Imechapishwa: 26/04/2021